Ukienda na raman yako pale nabaki wanakupa makadirio yoteAsante kwa ushauri mkuu! Kwanza sikujua kama Nabaki wanao mafundi wao wenyewe. Hicho ni kitu kizuri nafikiri mafundi wao watakua wazuri siyo wa ujanja ujanja.
Mkuu ni apartments au? Tuambie. Watu tunatafuta nyumba. Kama ni nyumba ya kuishi utakuja potelea humo. 400 sq.m roughly ni kama 20m X 20m. Jumba kubwa mno, angalia usije over estimate vifaa kwa kuchanganya unit of measurement.
Mkuu,
Nenda FB jiunge na kundi la Ujenzi Zone. Kule kuna wanachama zaidi ya 10k. Utapata vyote unavyohitaji kujua kuhusu ujenzi including hao mafundi wa Nabaki.
Usisahau kuleta mrejesho ili na wengine wafaidike.
Barikiwa.
Mkuu kupauwa hii nyumba ujiandae maana nina jamaa yangu yeye ana kama hiyo gharama za kupauwa tuu ni Million 48. Hii mijumba mikubwa mizuri kwenye picha tuu lakini gharama zake majanga.
Ni kweli mkuu nakubali gharama zake ni majanga. Until this level this house has cost me a fortune!
Built up area ni ngapi mkuu? 210sqm ni nyumba kubwaMkuu unaweza kutupatia mrejesho what did you opt last? Ulitumia nabaki Decra tyles au? How did it cost?
Nina nyumba ya sqm 210 ukubwa imefikia stegi hiyo ya kuezeka nahitaji ideas. Thanks
Built up area ni ngapi mkuu? 210sqm ni nyumba kubwa
Unataka bati zipi?
Decra is very expensive,Looking at actual roof plan dimensions ina 17.7X18M~~318SQM. Nyumba kubwa kidogo ni vyumba vinne
Nataka Decra ila naona bei itachangamka sana.
Roofing dimension 17.7 x 18, je nyumba ni box? Nyumba yako ina umbo la mstatili? Yaan haina kona?Looking at actual roof plan dimensions ina 17.7X18M~~318SQM. Nyumba kubwa kidogo ni vyumba vinne
Nataka Decra ila naona bei itachangamka sana.
nahitaji kupaua nyumba ya ukubwa wa127.2sqm.ambayo urefu wake ni 12m na upana 10.6m je nitatumia bati kiasi gani na mbao kiasi gani?Built up area ni ngapi mkuu? 210sqm ni nyumba kubwa
Unataka bati zipi?