abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 781
Habari wakuu.
Wakuu naomba watalaamu wa paa wanipe hesabu za kupaua na kuezeka nyumba ya ukubwa wa Sqm 400. Nataka hesabu za makadirio ya vifaa vinavyohitajika na za ufundi.
Vilevile nataka kuweka mabati ya (tiles shaped type). Nyumba ipo Dar es salaam na ramani ya paa ipo vilevile. I'm looking for realistic estimate please.