Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kama kuna mafundi wa kupiga rangi si vibaya wakitupia namba zao.Husikeni ni kichwa cha somo. Ninahitaji kujua gharama ya kupiga rangi ya ndani ya nyumba ya vyumba vinne. Gharama ijumishe pia maandalizi kuandaa kuta na dari. Thanks in advance.
Gharama inategemea na vitu vifuatavyo;
>Vyumba vina ukubwa gani?
>Unataka kutumia rangi ya bei gani, mana gharama ya rangi inatofautiana. Zipo ndoo za 30,000 na zingine hadi 150,000.
>Kuta za vyumba zimefanyiwa skiming? Au zimepigwa plasta tu ya kawaida?
Ukishajua Yote Hayo Ndo, Gharama Za Vyumba Vyako Utazifahamu.
Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again
Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again
Asante sana. Na je kawaida fundi mmoja anaweza kuchukua muda gani kumaliza kazi?Kama ni gharama za ufundi haiwezi zidi laki 3.
Nitajitahidi kuweka hiyo floor plan lakini ukubwa wa nyumba ya kawaida kama nilivyoeleza ktk post yangu mojawapo. Nisaidi kwa uzoefu wako kukadiria.weka floor plan nikupe gharama za kupiga rangi.