Gharama za kupiga rangi

Gharama za kupiga rangi

F2S

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Posts
216
Reaction score
44
Husikeni ni kichwa cha somo. Ninahitaji kujua gharama ya kupiga rangi ya ndani ya nyumba ya vyumba vinne. Gharama ijumishe pia maandalizi kuandaa kuta na dari. Thanks in advance.
 
Pia kama kuna mafundi wa kupiga rangi si vibaya wakitupia namba zao.
 
Gharama inategemea na vitu vifuatavyo;

>Vyumba vina ukubwa gani?
>Unataka kutumia rangi ya bei gani, mana gharama ya rangi inatofautiana. Zipo ndoo za 30,000 na zingine hadi 150,000.
>Kuta za vyumba zimefanyiwa skiming? Au zimepigwa plasta tu ya kawaida?

Ukishajua Yote Hayo Ndo, Gharama Za Vyumba Vyako Utazifahamu.
 
Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again
 
Kama ni gharama za ufundi haiwezi zidi laki 3.
 
Kuna plaster tu hivyo skiming bado. Ukubwa ni nyumba ya kawaida yaani ina vyumba vitatu vya kulala, study room, sebule, dinning room na store. Nahitaji kujua gharama ya ufundi tu sio vifaa. Thanks again

weka floor plan nikupe gharama za kupiga rangi.
 
Nitajitahidi kuweka hiyo floor plan lakini ukubwa wa nyumba ya kawaida kama nilivyoeleza ktk post yangu mojawapo. Nisaidi kwa uzoefu wako kukadiria.
 
Back
Top Bottom