emanoti415
Member
- Jul 20, 2018
- 36
- 16
Hii yako au unataka kuinunua kama ilivyo
NimeinunuaHii yako au unataka kuinunua kama ilivyo?
ndiyo ipo dodomaIpo wapi mkuu naruhusiwa Kuja dm tubagaeni tupate tonge
Binadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika ngapi, rangi ya naji nyeupe ndoo ngapi, white cement kwa skimming ya kuta za nje ngapi, whether guard ndoo ngapi na silk ndoo ngapi, naomba kuwasilisha. bila kusahau gharama za plastering ndani na nje.
View attachment 2063628
Tatizo liko wap jf kuna watu wanajifunza mengi humBinadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!
Hujalazimishwa kucomment bro , jf ni sehemu ya kujifunza na kubadilishana ideas zenye manufaa, kuliko kuingia kichwa kichwa ukajikuta unapata hasara za ajabu. Kama huna msaada kaa kimya hujalazimishwa kucomment bro.Binadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!
uko sahihi kabisa kakaTatizo liko wap jf kuna watu wanajifunza mengi hum
asante sana, wall puty unaweza kuskim na kuta za nje?ya nn sasa mavitu yot hayo
chkua wall puty.ni maji tu.mfuko sq 25.
Hivi watu hua hamjua maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.Tafuta fundi akupgie hesabu! Naona bati zishapauka kbla ya nyumba kuisha.
Hivi watu hua hamjua maana ya mtu kutafuta uelewa binafsi kwa majadiliano au vipi ?! Ndio jamaa atatafuta fundi wa kumpigia hesabu ila yeye kuleta hapa ni ili kupanua uelewa wake kabla ya kukutana na huyo fundi au hata baada ya kukutana nae. Sasa kama kila kitu ni kuuliza tu fundi uko wapi umuhimu wa jukwaa hili la ujenzi ?! Si lifutwe tutakua tunauliza mafundi. WaTanzania wenzangu wengi mapoyoyo sana.Binadamu mnapenda kutafuta show za ajabu ajabu tu. Kwani uko kwenu hakunaga wataalamu wa kufanya kazi hii!