Ndugu yangu acha uvivu nenda vyuoni kaulize mwenyewe, ndo maana mnatoa rushwa bila kuombwa sabu ya uvivu wenu. Kwanza hujaeleza unataka kusoma kozi gani na chuo gani zuri kwako then uulize gharama sabu kila chuo inagharama zake na hata Kila kozi ina bei tofauti. Samahani kama nimekuudhi ila ndo ukweli huo.
Chenye gharama ndogo ni udom na saut.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Gharama Milioni 6.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Gharama Milioni 6.
Habari wadau, naomba msaada wenu, gharama za kusoma masters katika vyuo vyetu hapa nchini hasa evening zikoje?
na je ni chuo gani chenye gharama nafuu na elimu yake ni bora?
nimejaribu kucheki kwenye website za vyuo mbali mbali, hawajaweka fee structure kwa ajili ya masters bali wameweka kwa degree tuu.

Sasa hii gharama ni ya kusoma au ni ya kununua mastaz?kwa IFM ya bei rahic ni milion 8.6 masters of finance zilizobaki milioni 12 kwa 13
Naomba nisaidiwe kufahamu, hivi Masters na degree ni vitu viwili tofauti? Maana hiyo sentensi ya mwisho imeniacha hoi!