Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
Habari wadau, naomba msaada wenu, gharama za kusoma masters katika vyuo vyetu hapa nchini hasa evening zikoje?
Na Je? ni chuo gani chenye gharama nafuu na elimu yake ni bora? nimejaribu kucheki kwenye website za vyuo mbali mbali, hawajaweka fee structure kwa ajili ya masters bali wameweka kwa degree tuu.