Gharama za kusoma masters vyuo vya Tanzania

Nadhani Mzumbe kwa sasa ndio cheap kuliko wote...Wanachaj milion 4.5 mpaka unamaliza.
 

mkuu Excel nimejaribu angalia pande zote nnazozijua ila sijabahatika pata exactly fees kwa post graduate studies, ambazo ni common ni za under graduate na hizo zipo zinapatikana!! na kwenye web ya chuo (na prospectus) wenda unaweza pata moja mbili mkuu, japo nimepitia zijaziona... by the way hongera kwa kuiwazia hiyo kozi, na naiman inatolewa main campus.....
http://www.suanet.ac.tz/
 
sukurani sana mkuu kwa primary information, nina mpango wa kuhama career ndo maana nasaka hizo info, kuna mdau kanipa msaada kwa upande mwingine wa masters, kaniambia inachezea mpaka milioni 6, nadhani nibadili mawazo.. nitasoma masters.

shukran sana kwa mwitikio mzuri mkuu.
 

Bila shaka mkuu... you are welcome....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…