Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, kwa chuo kama SUA na course zake za kilimo, gharama ya kusoma masters ni kiasi gani?
Binafsi nimevutiwa na course hizi katika idara ya kilimo:
1. Master of Science in Agricultural Economics (MSc. Agric Econ)
2. Master of Science in Agricultural and Applied Economics (MSc. Agric. and Applied Econ)
3. Master of Business Administration (Agribusiness) – MBA (Agribusiness)
namba mbili haswaa....
Kwa anaejua gharama tafadhali tusaidiane.
cc ze duduz na LORDVILLE kwa msaada zaidi.
sukurani sana mkuu kwa primary information, nina mpango wa kuhama career ndo maana nasaka hizo info, kuna mdau kanipa msaada kwa upande mwingine wa masters, kaniambia inachezea mpaka milioni 6, nadhani nibadili mawazo.. nitasoma masters.mkuu Excel nimejaribu angalia pande zote nnazozijua ila sijabahatika pata exactly fees kwa post graduate studies, ambazo ni common ni za under graduate na hizo zipo zinapatikana!! na kwenye web ya chuo (na prospectus) wenda unaweza pata moja mbili mkuu, japo nimepitia zijaziona... by the way hongera kwa kuiwazia hiyo kozi, na naiman inatolewa main campus.....
http://www.suanet.ac.tz/
sukurani sana mkuu kwa primary information, nina mpango wa kuhama career ndo maana nasaka hizo info, kuna mdau kanipa msaada kwa upande mwingine wa masters, kaniambia inachezea mpaka milioni 6, nadhani nibadili mawazo.. nitasoma masters.
shukran sana kwa mwitikio mzuri mkuu.
Nadhani Mzumbe kwa sasa ndio cheap kuliko wote...Wanachaj milion 4.5 mpaka unamaliza.
Nadhani Mzumbe kwa sasa ndio cheap kuliko wote...Wanachaj milion 4.5 mpaka unamaliza.
mkuu, una uhakika?
Una soma Doctor miaka 7?