GAGL JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 392 Reaction score 400 Jun 22, 2019 #1 Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
muuza ubuyu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 3,539 Reaction score 3,551 Mar 11, 2024 #2 GAGL said: Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora Click to expand... Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi
GAGL said: Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora Click to expand... Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Oct 19, 2024 #3 GAGL said: Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora Click to expand... Mkoa wa tabora maji ya ardhini yako mbali sana, take care usitapeliwe
GAGL said: Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora Click to expand... Mkoa wa tabora maji ya ardhini yako mbali sana, take care usitapeliwe
GAGL JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 392 Reaction score 400 Nov 8, 2024 Thread starter #4 muuza ubuyu said: Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi Click to expand... Sikupata kaka
muuza ubuyu said: Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi Click to expand... Sikupata kaka
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,385 Reaction score 568 Nov 8, 2024 #5 DODOMA kuna magari yenye mitambo ya kuchimba visima virefu, yapo zaidi ya magari 20, bei wanashindana,unaweza kupata kwa bei rafiki zaidi ya kutumia wachimbaji wa Tabora. wastan wa bei ni laki 1-2 kwa mita
DODOMA kuna magari yenye mitambo ya kuchimba visima virefu, yapo zaidi ya magari 20, bei wanashindana,unaweza kupata kwa bei rafiki zaidi ya kutumia wachimbaji wa Tabora. wastan wa bei ni laki 1-2 kwa mita