Gharama za kusurvey na kuchimba kisima Tabora

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
392
Reaction score
400
Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
 
Habari Mkuu Mkuu, ulipata majibu ya hili? Nami natamani kuchimba kisima wakati kwa kiangazi
 
Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
Mkoa wa tabora maji ya ardhini yako mbali sana, take care usitapeliwe
 
DODOMA kuna magari yenye mitambo ya kuchimba visima virefu, yapo zaidi ya magari 20, bei wanashindana,unaweza kupata kwa bei rafiki zaidi ya kutumia wachimbaji wa Tabora.
wastan wa bei ni laki 1-2 kwa mita
 
Back
Top Bottom