Gharama za kutoa bandarini container la furniture za ndani

Gharama za kutoa bandarini container la furniture za ndani

onana na Rich Pol
Habari zenu ndugu zangu.
Naomba mnisaidie nijue gharama na process nzima ya kutoa bandarini container lenye furniture ambazo sio za
biashara.

Najua kutoa gari bandarini ni mtihani ila je kwa container lenye vifaa vya ndani ambavyo sio vya biashara ni rahisi kulitoa au na lenyewe itakua mtihani?

Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtakaonisaidia.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni used items lazima hizo items ziwe zimefanyiwa inspection na SGS au Intertek au Cotecna tokea huko huko zinakotoka.
SGS na Intertek na Cotecna ni makampuni ya nchi gani hayo?

Kuna nchi nyingine labda hazina services za ku inspect used furniture, used furniture zinatupwa barabarani au zinauzwa kwenye yard sale, mtu kachoka na furniture zake anazitoa nje wapita njia wanaokota kwa dola tano tano, kumi kumi, I don't see how anybody is gonna open up shop to inspect used furniture. Never heard of it.
 
Back
Top Bottom