ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari zenu ndugu zangu.
Naomba mnisaidie nijue gharama na process nzima ya kutoa bandarini container lenye furniture ambazo sio za
biashara.
Najua kutoa gari bandarini ni mtihani ila je kwa container lenye vifaa vya ndani ambavyo sio vya biashara ni rahisi kulitoa au na lenyewe itakua mtihani?
Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtakaonisaidia.
SGS na Intertek na Cotecna ni makampuni ya nchi gani hayo?Kama ni used items lazima hizo items ziwe zimefanyiwa inspection na SGS au Intertek au Cotecna tokea huko huko zinakotoka.
mi niliwai kuleta lakin TRA walilitolea macho gari tu na kulingashaa,nililipa kodi ya gari tu makororo na furniture sikulipa
Ni kweli mkuu,hata huku zanzibar ndio hivyo hivyo,