Gharama za kutoa gari bandari

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama ukiachana na kodi ya TRA ambayo naweza kuona kwenye system ya TRA, ningependa kujua uzoefu wenu kama zipo sawa mana nadhani mnajua hapa mjini ujanja ujanja mwingi. Gharama hizo ni; Shipping lines 150,000 Wharfage 115,000 Port charges 250,000 Plate number 50,000 na Agency fee ni 300,000

Naombeni uzoefu wenu wakuu
 
Hapo gharama sawa Ila plate number ni 40,000 na Agency fee ni 250, 000. Hizo nyingine ziko poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…