Gharama za kuunda ngalawa

Gharama za kuunda ngalawa

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,069
Reaction score
1,209
Wanajukwaa nawasalimu.

Hivi gharama za kuunda ngalawa yenye uwezo wa kubeba hadi tani 1 ya mzigo...inaweza kuwa bei gan?? Na ni wapi hasa wanapatikana wahunzi wabobezi katika ukanda wa pwani?!?
 
Wanaunda, sehem moja ,inaitwa ,koma kisiwani, kwa ukanda wa pwani _ wilaya ya mkuranga, ila rahisi zaidi, ukifika nyamisati, vuka ma boti, sehem ,inatwa ,sarare, nauli toka hapo nyamisati, kwenda ,huko ,ni 3000_ ila koma ni rahisi zaid, pia mafia zipo sehem nyingi tu, itategemea we ulipo
 
Back
Top Bottom