Habari wana JF
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa gharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda Zambia. Hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote. Tutakaa kama wiki mbili hivi.
Habari wana JF
naomba msaada kwa mwenye uelewa wa vharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda zambia.
hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote. tutakaa kama wiki mbili hivi