Gharama za kuvuka na gari la abiria kwenda Zambia kupitia border ya Tunduma

Gharama za kuvuka na gari la abiria kwenda Zambia kupitia border ya Tunduma

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
997
Reaction score
1,765
Habari wana JF
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa gharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda Zambia. Hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote. Tutakaa kama wiki mbili hivi.
 
Habari wana JF
naomba msaada kwa mwenye uelewa wa vharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda zambia.
hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote. tutakaa kama wiki mbili hivi

nenda office za TRA mahali popote....watakueleza kila kitu
 
Back
Top Bottom