Mugabe wa Bongo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 145
- 72
Wadau naomba kufahamishwa au wahusika mnisaidie kunijulisha taratibu za mtu akitaka Kuvusha Border;gari la matangazo ambalo wamelibrand Stickers na Logo za Kampuni na Spares zake..je gharama zinakuaje kwa TRA na taratibu zipi napaswa kufuata labda kiserikali ama kiuhamiaji ama pia TRA...???