The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Wakuu Naomba kujua kuna kodi yeyote katika kusafirisha Gari toka Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni rahisi tu
angalia thamani ya ushuru wa gari lako inavyopaswa kulipiwaa hapa tanzania bara wakati umeagiza kutoka nchi za nje, kisha angalia kiasi cha ushuru ulicholipa zanzibar tofauti yake ndio unavyopaswa kulipa hapa kama umetoa znz
mfano mfano ukiagiza gari kutoka dubai au japan aina ya toyota raum 2004 basi ushuru wa kulipia gari hapa tanzania bara inarange kati ya mil 4.5 mpaka 5.0 sasa ikiwa gari hiyo ya raum 2004 imeshuka znz na kulipiwa ushuru wa mil 2 basi ukiitoa znz na kuileta hapa tanzania bara utailipia kati ya mil 2.5 mpaka mil 3

Hakuna bandari bubu Lindi.tumia bandari bubu ya lindi mkuu ,ila ukishikwa lipia kodi
Nini chanzo cha tofauti ya kodi Zanzibar na Tanganyika.Mkusanyaji kodi siyo huyo huyo TRA .ni rahisi tu
angalia thamani ya ushuru wa gari lako inavyopaswa kulipiwaa hapa tanzania bara wakati umeagiza kutoka nchi za nje, kisha angalia kiasi cha ushuru ulicholipa zanzibar tofauti yake ndio unavyopaswa kulipa hapa kama umetoa znz
mfano mfano ukiagiza gari kutoka dubai au japan aina ya toyota raum 2004 basi ushuru wa kulipia gari hapa tanzania bara inarange kati ya mil 4.5 mpaka 5.0 sasa ikiwa gari hiyo ya raum 2004 imeshuka znz na kulipiwa ushuru wa mil 2 basi ukiitoa znz na kuileta hapa tanzania bara utailipia kati ya mil 2.5 mpaka mil 3
hapana znz wanatumia zra na hapa bara wanatumia traNini chanzo cha tofauti ya kodi Zanzibar na Tanganyika.Mkusanyaji kodi siyo huyo huyo TRA .