Gharama za kuvusha Gari toka Zanzibar

Gharama za kuvusha Gari toka Zanzibar

ni rahisi tu
angalia thamani ya ushuru wa gari lako inavyopaswa kulipiwaa hapa tanzania bara wakati umeagiza kutoka nchi za nje, kisha angalia kiasi cha ushuru ulicholipa zanzibar tofauti yake ndio unavyopaswa kulipa hapa kama umetoa znz
mfano mfano ukiagiza gari kutoka dubai au japan aina ya toyota raum 2004 basi ushuru wa kulipia gari hapa tanzania bara inarange kati ya mil 4.5 mpaka 5.0 sasa ikiwa gari hiyo ya raum 2004 imeshuka znz na kulipiwa ushuru wa mil 2 basi ukiitoa znz na kuileta hapa tanzania bara utailipia kati ya mil 2.5 mpaka mil 3
 
Hiyo ni noma sana. hakuna haja hata ya muungano
 
Mkuu, umeeleza vyema kabisa. Hilo lilinikuta mwaka 2008, nilipoenda kubadirisha namba za usajili nilipigiwa hesabu hiyo nikijumlisha pesa ya usafiri ya znz-dar kipindi kile ilikuwa 300,000 kwa gari ndogo. Ukijumlisha yote hayo pamoja na ghalama za ww kwenda kurudi, unaweza kuta hamna haja ya ww kenda huko. Nilimuuliza yule afisa wa tra huku dar, MBONA MNANIPIGIA MAHESABU MENGINE TENA YA KODI WAKATI HII NI NCHI MOJA? akasema sheri inaelekeza nifanye hivyo.
 
Mnasumbuka nini.
We njoo huku ununue gari,halafu unatembelea huku ukichoka unapanda boti unarudi dar.
Kila ukisikia hamya gari yako unakuja tena una drive eeeeeeeeeeee kisha unapanda boati unarudi zako.

Wengie hupenda kununua gari zanzibar sifa moja kuu ni hali ya gari,Dar usanii mwingi sana kwenye hizi Yards tofauti na Zanzibar.
Hakuna cheating za kipumbafu kwenye magari,mtu anakuuzia kutokana na uhalisia wake,ndio maana watu wengi na hata jioni ukienda pale Sands Port unakuta gari kibao zinasafirishwa.Na pia watu wengi binafsi wanatumia gari kwa muda mfupi kisha anauza kwa bei alionunulia na sio kibiashara.
Na ndio maana sie tuliopo huku ukitaka gari hata yard huendi,unaenda kuitoa ndani ya uwa wa Mtu.Unless hali iwe ngum kutokana na aina ya gari.
Bado Zanzibar ni bora Zaidi kwa watu kuja kununua Magari,suala la kodi ni suala la kawaida,hizi ni nchi mbili tofauti.
Sio kuweka kigezo cha muungano basi kila kitu kijiendee tu,mbona Kenya imo ndani ya muungano wa Africa Mashariki na walizuia gari za Tanzania kubeba watalii Kenya.Hata elim ya Darasa la tatu inatosha kujua hili suala la Maslahi ya Kiuchumi kwa nchi husika.
 
Waliharibu wafanya biashara wenyewe, zamani ulikuwa mtu unaleta gari toka Zanziba/Pemba unalipa hela ndogo sana ambayo ilikuwa haina lawama kabisa.Sasa kama ilivyo tabia ya wakwepa kodi wakaona watumie vizuri huo mwanya uliopo kujipatia faida kubwa zaidi,serikali ikaona lazima ilipwe tofauti ya kodi inayobaki kwaajili ya kutimiza kodi halisi inayopaswa kulipwa iwapo ulilipa inavyostahili basi gari inalipiwa usajili tu.NOTE: Mamlaka ya mapato haitozi kodi mara mbili bali inakusanya tofauti ya kodi kama ipo ili kutimiza malipo halisi iliyopaswa kutozwa kwa gari/chombo husika.
 
ni rahisi tu
angalia thamani ya ushuru wa gari lako inavyopaswa kulipiwaa hapa tanzania bara wakati umeagiza kutoka nchi za nje, kisha angalia kiasi cha ushuru ulicholipa zanzibar tofauti yake ndio unavyopaswa kulipa hapa kama umetoa znz
mfano mfano ukiagiza gari kutoka dubai au japan aina ya toyota raum 2004 basi ushuru wa kulipia gari hapa tanzania bara inarange kati ya mil 4.5 mpaka 5.0 sasa ikiwa gari hiyo ya raum 2004 imeshuka znz na kulipiwa ushuru wa mil 2 basi ukiitoa znz na kuileta hapa tanzania bara utailipia kati ya mil 2.5 mpaka mil 3
Nini chanzo cha tofauti ya kodi Zanzibar na Tanganyika.Mkusanyaji kodi siyo huyo huyo TRA .
 
Vipi nataka kununua gari kampala kodi yake napigwa Ile ile kama ya japan?
 
Back
Top Bottom