♥gharama ni 2m +mitungi miwili ya gesi @ kilo 15
♥bei ya gesi kwa kilo ni 1,450Tsh na inatembea 15km kituo kipo kimoja tu kwa sasa kipo ubungo maziwa.
♥system wanayofunga ni duos yani ile ya petrol hawaiondoi kuna switch button kwenda either gesi au petrol.
Huo mtungi unakaa muda gani?
Mkuu naomba kukolezea jibu lako, mtungi wa 30kg matumizi yake yanategemea vitu vingi....Mtungi wa kilo 30 unatembelea 750km.
Mkuu naomba kukolezea jibu lako, mtungi wa 30kg matumizi yake yanategemea vitu vingi....
mfano:
1. Fuel consumption rate ya gari yako (CC)- aina gani ya gari/ndogo au kubwa
2. Efficiency ya engine ya gari yako
3. Uchakavu wa gari yako (engine)
4. Matumizi mengine kama A.C nakadhalika
.Sytem wanayofunga ni sawa kwa gari zote za petrol maana mfumo ni mmoja(iwe Range au Vitz),gesi inaungua yote hakuna inayopotea....Ila kwa mujibu wa mtu wa TPDC gari ya mfano ni Mark ii grande cc 2000,Kwa 1Kg ya gesi inatembea umbali wa 15km with all A/C.
mimi ni mtu Wa tpdc...ndio mana nkaweka hizo points.
Okay Mkubwa maana yule jamaa wa tpdc basi alituingiza chaka,maana alisema gari lazima iwe ya perol kwanza,pili gari zote zinafungwa mfumo m1 iwe gari kubwa au ndogo na akasema wanaofunga ni watu wa dit au udsm.
mimi ni mtu Wa tpdc...ndio mana nkaweka hizo points.
Kwa maana hiyo kilo moja ni km 25. gharama ya sh 1465 kwa kilo ya gesi bado kubwa, hitihada zifanyike ipungue hata ifikie nusu yake, ili tujikomboe kwa pamoja. " MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA INAWEZEKANA" tujipange tu na Rasilimali zetu tulizo nazo vizuri.Mtungi wa kilo 30 unatembelea 750km.
mimi ni mtu Wa tpdc...ndio mana nkaweka hizo points.
Kilo 1 gesi kwenye 1500 hapo piga mara 30mkuu kunafaida zingine tofauti na fuel consumption? nauliza ivi kwa kuwa unafuu kwa mtungi wa lita 30 kutembea km 750 ukilinganisha na petrol sijauona...au iyo gesi bei ni tofauti na ya majumbani?...
Wataalamu wa DIT wamelala huu mwaka wa 6 hawajajibu hili.mkuu kunafaida zingine tofauti na fuel consumption? nauliza ivi kwa kuwa unafuu kwa mtungi wa lita 30 kutembea km 750 ukilinganisha na petrol sijauona...au iyo gesi bei ni tofauti na ya majumbani?
Mfano mtungi wa kg 15 wa gesi unauzwa sh 53,000 kilo 30 itakuwa sh 100,000 plus... na petrol fuel ya kutembea highway km750 ni kama litre59 mpaka65 mfano kwa Mark II natoka dar au subaru forester. Litre 60 ni sawa na sh 120,000...je iyo elfu 10 na kadhaa ndo inakuwa 'economised'?
je bei za kufunga zikoje? na je kuhusu leakage? na gesi ikikuishia njiani unafanyeje? mfano uko Same mkoa wa kilimanjaro kule palipo na mbuga na mashamba ya katani mzigo ukakata inabidi kuibeba gari, unaagiza gesi au unafanyeje??
Tusaidie majibu ya kitaalam mkuu...tutahamasika sana.
Na kwa sasa mafuta bei imeshukamkuu kunafaida zingine tofauti na fuel consumption? nauliza ivi kwa kuwa unafuu kwa mtungi wa lita 30 kutembea km 750 ukilinganisha na petrol sijauona...au iyo gesi bei ni tofauti na ya majumbani?