ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Wadau ,nilivutiwa na maelezo mengi ya kusifia gesi kwenye gari pale saba saba kwenye banda la tpdc tatizo wanaopigia debe matumizi ya gari za hivyo hawajui gharama halisi ya kufanya kazi hiyo zaidi ya kusema nenda dit.
Naomba msaada wapi ntapata mawasiliano ya kujua gharama halisi na mengineyo mmengi.
Naomba msaada wapi ntapata mawasiliano ya kujua gharama halisi na mengineyo mmengi.