Nimechukua fremu ya biashara maeneo ya kimara lakini umeme una madeni na migogoro ,sasa mwenye nyumba amenishauri niweke LUKU yangu sasa naomba kujua gharama za kununua meter na kuweka ni silingi ngapi ?
Inachukua muda gani?ili nione kama naweza
Nisaidie namba yake na mimi niwekewe haraka sana nipo kimara rombo ,my number 0716 282670/0759146483Fremu niliopo sasa mimi, baba mwenye fremu anajuana na mtu mmoja hivi. Alimpigia simu akamueka loudspika na nilisikia akimuambia kuniwekea luku ktk fremu hiyo yangu amuandalie laki tatu na ishirini na pembeni amuandalie laki na nusu. Akamuahidi hiyo ni fats ndani ya siku mbili kwisha kazi.
Ni hayo tu
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?Mimi nikipiga mahesabu ya haraka haraka andaa laki 450,000 mpaka tano naona Tripo9 yuko sahihi kama kweli hautahangaika na ndani ya siku 3 ukawa umekewa umeme kwa sababu malipo yenyewe ya meter ni 321,000 ukijumlisha na mambo ya main switch na mwengineo mimi nilitumia nadhani around 450,000.
Vipi ukihama waweza kuhama nayo na kuweka sehemu nyingine?Fremu niliopo sasa mimi, baba mwenye fremu anajuana na mtu mmoja hivi. Alimpigia simu akamueka loudspika na nilisikia akimuambia kuniwekea luku ktk fremu hiyo yangu amuandalie laki tatu na ishirini na pembeni amuandalie laki na nusu. Akamuahidi hiyo ni fats ndani ya siku mbili kwisha kazi.
Ni hayo tu
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?
Asante kwa maelezo yako mkuuuUnaweza ukainyofoa lakini unatakiwa uwe ndani ya wilaya iyo uliopo sasa hivi na sio uinyofoe ukitokea Kinondoni kwenda Temeke hiyo haiwezekani...Kama eneo unaloishi ni Kinondoni basi hutakiwi kwenda nje ya Kinondoni....