Gharama za kuweka LUKU kwenye fremu yangu na utaratibu

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Nimechukua fremu ya biashara maeneo ya kimara lakini umeme una madeni na migogoro ,sasa mwenye nyumba amenishauri niweke LUKU yangu sasa naomba kujua gharama za kununua meter na kuweka ni silingi ngapi ?
Inachukua muda gani?ili nione kama naweza
 
Fremu niliopo sasa mimi, baba mwenye fremu anajuana na mtu mmoja hivi. Alimpigia simu akamueka loudspika na nilisikia akimuambia kuniwekea luku ktk fremu hiyo yangu amuandalie laki tatu na ishirini na pembeni amuandalie laki na nusu. Akamuahidi hiyo ni fats ndani ya siku mbili kwisha kazi.
Ni hayo tu
 
Mimi nikipiga mahesabu ya haraka haraka andaa laki 450,000 mpaka tano naona Tripo9 yuko sahihi kama kweli hautahangaika na ndani ya siku 3 ukawa umekewa umeme kwa sababu malipo yenyewe ya meter ni 321,000 ukijumlisha na mambo ya main switch na mwengineo mimi nilitumia nadhani around 450,000.
 
Nisaidie namba yake na mimi niwekewe haraka sana nipo kimara rombo ,my number 0716 282670/0759146483
Ntashukuru sana mkuu
 
Mimi nikipiga mahesabu ya haraka haraka andaa laki 450,000 mpaka tano naona Tripo9 yuko sahihi kama kweli hautahangaika na ndani ya siku 3 ukawa umekewa umeme kwa sababu malipo yenyewe ya meter ni 321,000 ukijumlisha na mambo ya main switch na mwengineo mimi nilitumia nadhani around 450,000.
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?
 
Fremu niliopo sasa mimi, baba mwenye fremu anajuana na mtu mmoja hivi. Alimpigia simu akamueka loudspika na nilisikia akimuambia kuniwekea luku ktk fremu hiyo yangu amuandalie laki tatu na ishirini na pembeni amuandalie laki na nusu. Akamuahidi hiyo ni fats ndani ya siku mbili kwisha kazi.
Ni hayo tu
Vipi ukihama waweza kuhama nayo na kuweka sehemu nyingine?
 
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?

Huwezi kuinyofoa, cha msingi ni kukubaliana na mwenye nyumba ni jinsi gani atakufidia hizo gharama, hiyo ni mali ya TANESCO.
 
Asante kwa ushauri aisee, vipi ukihama unaweza kuinyofoa na kuweka sehemu nyingine?

Unaweza ukainyofoa lakini unatakiwa uwe ndani ya wilaya iyo uliopo sasa hivi na sio uinyofoe ukitokea Kinondoni kwenda Temeke hiyo haiwezekani...Kama eneo unaloishi ni Kinondoni basi hutakiwi kwenda nje ya Kinondoni....
 
Asante kwa maelezo yako mkuuu
 
Back
Top Bottom