Gharama za kwenda Serengeti na Ngorongoro kwa mapumziko ni kiasi gani?

Pamoja na Magu kubana kila kona bado mnawaza matanuzi tu... Hongereni sana
maisha magumu yanaweza kuwa ni kwako tuu,sio maisha magumu kwa kila mtu,we ulichotakiwa ni kujibu kama unajua,mi sijataka kujua kama maisha yako ni magumu,hayo ni maisha yako binafsi,mi hayanihusu hata kidogo
 
Tupeane michongo ya pesa bas sio kunikana kias hicho
 
Back
Top Bottom