>>>> https://www.jamiiforums.com/threads...a-yakiulizwa-juu-ya-usajili-wa-blogu.1434392/Naomba kufahamu gharama za kufungua YouTube channel kwa sasa
No! gharama zipo kwenye usajili wa awali.Sitaki kuamini huu ukweli!!! So unalipia kila mwaka au vp
MhNadhani ni zaidi ya Laki 10. Kuna mdau mmoja yupo kwenye hatua za kufungua YouTube channel alinidokeza hivyo.
Ni kiasi gani?
Laki 10 =milioni 1Ni kiasi gani?
Asante mkuu sikujua hilo.Laki 10 =milioni 1
kweliNamim Niko gizani, wajuzi wanasoma wanapita bila ufafanuzi
gharama za kufungua you tube channel ni 1m unaenda pale tcra ubungo kuna process za kufata then unasajiliwa rasm 1m hyo utailipa mara moja tu pindi usajilipo account yko
Je channel za story na makala tu kama za akina Davistar Mata n.k zinalipiwa?gharama za kufungua you tube channel ni 1m unaenda pale tcra ubungo kuna process za kufata then unasajiliwa rasm 1m hyo utailipa mara moja tu pindi usajilipo account yko