Gharama za license/kibali cha kufungua YouTube channel

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Naomba kufahamu gharama za kufungua YouTube channel kwa sasa, maaana nimeshuhudia kwenye media baadhi ya watu wakiburuzwa mahakamani kwa kutokua na vibali vya kuchapisha maudhui YouTube hapa tz.

Sielewi chochote mwenye information basi ashee nami. Asante.
 
Nadhani ni zaidi ya Laki 10. Kuna mdau mmoja yupo kwenye hatua za kufungua YouTube channel alinidokeza hivyo.
 
sielewi youtube channel ni sawa na youtube account ambayo unaweza kujiwekea mambo yako tu free kama wanavyotoa youtube wenyewe?
 
gharama za kufungua you tube channel ni 1m unaenda pale tcra ubungo kuna process za kufata then unasajiliwa rasm 1m hyo utailipa mara moja tu pindi usajilipo account yko
 
ziko faida nyingi za kusajili channnel yko moja wapi ni ile ya kupata kibali cha kuingia kwenye matukio muhimu kama mwandishi wa channel fulani pasipo kulipia gharama zozote
 
Mlikuwa wapi wakuu, simnaona sasa naanza kuona mbele
ziko faida nyingi za kusajili channnel yko moja wapi ni ile ya kupata kibali cha kuingia kwenye matukio muhimu kama mwandishi wa channel fulani pasipo kulipia gharama zozote
 
Ila si nimesikia kuihuisha after 3yrs ni 1m tena
gharama za kufungua you tube channel ni 1m unaenda pale tcra ubungo kuna process za kufata then unasajiliwa rasm 1m hyo utailipa mara moja tu pindi usajilipo account yko
 
gharama za kufungua you tube channel ni 1m unaenda pale tcra ubungo kuna process za kufata then unasajiliwa rasm 1m hyo utailipa mara moja tu pindi usajilipo account yko
Je channel za story na makala tu kama za akina Davistar Mata n.k zinalipiwa?
 
Back
Top Bottom