COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Tupe elimu hapa mkuuCash bado ni nzuri sana, au tuanze tumia hawala. Unakuwa na points zako Mikoani, kama Wahindi na Wachina wafanyavyo
Hawala ndio nn?Cash bado ni nzuri sana, au tuanze tumia hawala. Unakuwa na points zako Mikoani, kama Wahindi na Wachina wafanyavyo
unaongea upuuzi twende ukafungue na ww mpesa yako uone kama miamala 100 ya laki 3 utaipata kwa siku1100 kwa muamala mmoja ni faida nzur mbona ... mawakal wakubwa kwa siku anaweza fanya hata miamala 100 ya design hiyo so kwa siku akapata 110000
Mkuu unatakaje zaid ya hapo
Hujakamilisha.Voda wana wanyonya sana mawakala fikiria wakala kawekeza mtaji na mda plus kodi ya fremu na TRA....zen mtu akitoa 300,000....wakala anapata 1,100/ zen wao vodacom wanachukua elfu sita na usheee
M-Pesa ya PDF hii1100 kwa muamala mmoja ni faida nzur mbona ... mawakal wakubwa kwa siku anaweza fanya hata miamala 100 ya design hiyo so kwa siku akapata 110000
Mkuu unatakaje zaid ya hapo
Ukifanya biashara utaelewaHawala ndio nn?
Hii inakuaje?Cash bado ni nzuri sana, au tuanze tumia hawala. Unakuwa na points zako Mikoani, kama Wahindi na Wachina wafanyavyo
Hizo catorn 60 zinausha kwa mda gani.? Maana wakala yeye anatengeneza 1100 ndani ya dk moja tu muamala unapo soma. Nabado pesa yake iko pale pale eidha lHujakamilisha.
Hiyo 1,100 mwisho wa mwezi inakatwa 10% kwa ubatizo wa kodi. Inabaki
1,100-110= 990.
Wakati huo huo ukinunua katoni za maji za 300,000 angalau @5,000 unapata ctn 60 yenye faida ya 60,000 maana ni pc 6x1,000 unapata 6,000 (faida 1,000 gross)
Ni uchaguzi wa muuzaji auze bidhaa nyingine au ahudumie pesa mtandao
Matokeo yake mawakala wanaweka mgomo baridi, wanawajibu wateja
-SINA SALIO
-SINA CASH
-SIMU INA MATATIZO YA PIN NK
Kila biashara ina changamoto yake, usidhani hata huko kwenye maji ni rahisiHujakamilisha.
Hiyo 1,100 mwisho wa mwezi inakatwa 10% kwa ubatizo wa kodi. Inabaki
1,100-110= 990.
Wakati huo huo ukinunua katoni za maji za 300,000 angalau @5,000 unapata ctn 60 yenye faida ya 60,000 maana ni pc 6x1,000 unapata 6,000 (faida 1,000 gross)
Ni uchaguzi wa muuzaji auze bidhaa nyingine au ahudumie pesa mtandao
Matokeo yake mawakala wanaweka mgomo baridi, wanawajibu wateja
-SINA SALIO
-SINA CASH
-SIMU INA MATATIZO YA PIN NK
HUNDIHawala ndio nn?
Nahisi tatizo ni kwamba kuna watu wanatumia tofauti na matakwa ya kampuni watu badala ya kuzitumia kununua bidhaa ila kuna baadhi hutumia kama kutoa pesa hata kama hana bidhaa inayolipiwa mtoa huduma anachukua kias kulingana na pesa iliyotolewa.Leo nilikuwa natumia huduma ya Lipa kwa simu kupitia voda, nikalipia bidhaa yenye thamani ya elfu 12 nikakatwa sh. 850, kama sijasahau hii huduma hapo mwanzo ilikuwa na lengo la kumsaidia mteja pale anapolipia bidhaa, ilianza kwa mteja kulipia bidhaa bila kukatwa, then wakaja na makato madogo, sahivi yamezidi kuwa makubwa.
Kwa mwendo huu hii Lipa itakuwa na msaada kweli uliokusudiwa ama ndio wameona dili lipo huku baada ya kubanwa na serikali kwenye M-Pesa kwa makato lukuki? Sijajua kwa mitandao mingine, ila nafikiri kama Voda 'mtandao mama' wamepandisha basi na mitandao mingine itapandisha. Cc vodacom
Hakuna namna, makato ya kutoa pesa yamekuwa makubwa sana. Sema wametukomesha kutufuata na hukuNahisi tatizo ni kwamba kuna watu wanatumia tofauti na matakwa ya kampuni watu badala ya kuzitumia kununua bidhaa ila kuna baadhi hutumia kama kutoa pesa hata kama hana bidhaa inayolipiwa mtoa huduma anachukua kias kulingana na pesa iliyotolewa.
Ni biashara moja ya kipumbavu SanaVoda wana wanyonya sana mawakala fikiria wakala kawekeza mtaji na mda plus kodi ya fremu na TRA. then mtu akitoa 300,000. Wakala anapata 1,100/ then wao vodacom wanachukua elfu sita na usheee