Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

Voda wana wanyonya sana mawakala fikiria wakala kawekeza mtaji na mda plus kodi ya fremu na TRA....zen mtu akitoa 300,000....wakala anapata 1,100/ zen wao vodacom wanachukua elfu sita na usheee
Hujakamilisha.

Hiyo 1,100 mwisho wa mwezi inakatwa 10% kwa ubatizo wa kodi. Inabaki

1,100-110= 990.

Wakati huo huo ukinunua katoni za maji za 300,000 angalau @5,000 unapata ctn 60 yenye faida ya 60,000 maana ni pc 6x1,000 unapata 6,000 (faida 1,000 gross)

Ni uchaguzi wa muuzaji auze bidhaa nyingine au ahudumie pesa mtandao

Matokeo yake mawakala wanaweka mgomo baridi, wanawajibu wateja
-SINA SALIO
-SINA CASH
-SIMU INA MATATIZO YA PIN NK
 
Hizo catorn 60 zinausha kwa mda gani.? Maana wakala yeye anatengeneza 1100 ndani ya dk moja tu muamala unapo soma. Nabado pesa yake iko pale pale eidha l
Kwenye float au Cash.

Anauwezo wa kuizungusha hiyo 300000 kila dk Kama watatokea wateja wa kutuma na kuweka kwa kiwango kisichozidi hiyo 300000
 
Hujakamilisha.

Hiyo 1,100 mwisho wa mwezi inakatwa 10% kwa ubatizo wa kodi. Inabaki

1,100-110= 990.

Wakati huo huo ukinunua katoni za maji za 300,000 angalau @5,000 unapata ctn 60 yenye faida ya 60,000 maana ni pc 6x1,000 unapata 6,000 (faida 1,000 gross)

Ni uchaguzi wa muuzaji auze bidhaa nyingine au ahudumie pesa mtandao

Matokeo yake mawakala wanaweka mgomo baridi, wanawajibu wateja
-SINA SALIO
-SINA CASH
-SIMU INA MATATIZO YA PIN NK
Kila biashara ina changamoto yake, usidhani hata huko kwenye maji ni rahisi
 
Leo nilikuwa natumia huduma ya Lipa kwa simu kupitia voda, nikalipia bidhaa yenye thamani ya elfu 12 nikakatwa sh. 850, kama sijasahau hii huduma hapo mwanzo ilikuwa na lengo la kumsaidia mteja pale anapolipia bidhaa, ilianza kwa mteja kulipia bidhaa bila kukatwa, then wakaja na makato madogo, sahivi yamezidi kuwa makubwa.

Kwa mwendo huu hii Lipa itakuwa na msaada kweli uliokusudiwa ama ndio wameona dili lipo huku baada ya kubanwa na serikali kwenye M-Pesa kwa makato lukuki? Sijajua kwa mitandao mingine, ila nafikiri kama Voda 'mtandao mama' wamepandisha basi na mitandao mingine itapandisha. Cc vodacom
Nahisi tatizo ni kwamba kuna watu wanatumia tofauti na matakwa ya kampuni watu badala ya kuzitumia kununua bidhaa ila kuna baadhi hutumia kama kutoa pesa hata kama hana bidhaa inayolipiwa mtoa huduma anachukua kias kulingana na pesa iliyotolewa.
 
Hakuna namna, makato ya kutoa pesa yamekuwa makubwa sana. Sema wametukomesha kutufuata na huku
 
Airtelmoney nao wamepandisha now n 1,100/= kwa shs elfu hamsini kutoa kwa lipa namba.
 
Voda wana wanyonya sana mawakala fikiria wakala kawekeza mtaji na mda plus kodi ya fremu na TRA. then mtu akitoa 300,000. Wakala anapata 1,100/ then wao vodacom wanachukua elfu sita na usheee
Ni biashara moja ya kipumbavu Sana
 
Back
Top Bottom