Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

Bado Cash ni nzuri sana.
Banks na Makampuni ya simu yasipokuwa regulated tutaumia sana
 
Voda wana wanyonya sana mawakala fikiria wakala kawekeza mtaji na mda plus kodi ya fremu na TRA. then mtu akitoa 300,000. Wakala anapata 1,100/ then wao vodacom wanachukua elfu sita na usheee
Sio voda ni mitandao yote ni hivo mkuu
 
1100 kwa muamala mmoja ni faida nzur mbona ... mawakal wakubwa kwa siku anaweza fanya hata miamala 100 ya design hiyo so kwa siku akapata 110000

Mkuu unatakaje zaid ya hapo
Ww umefikiria wakubwa na hao wadogo je wanaofanya miamala michache? Alafu hata hao wakubwa sio rahisi hiyo miamala 100 ya kutoa 300k kafungue hiyo biashara na mtaji wako hata mil 50 kama utafikisha hivo kirahisi
 
Ww umefikiria wakubwa na hao wadogo je wanaofanya miamala michache? Alafu hata hao wakubwa sio rahisi hiyo miamala 100 ya kutoa 300k kafungue hiyo biashara na mtaji wako hata mil 50 kama utafikisha hivo kirahisi
Wadogo wapambane wawe wakubwa .hakuna excuse katika hilo.mnafikiria faida tuu vp kuhusu security za hela zenu kupitia hiyo mitandao

Hakuna slope kwenye biashara yoyote ni mapambano mwanzo mwisho
 
Teh..hapo kwenye biashara ya maji umeshawahi fanya au!?
 
Airtelmoney nao wamepandisha now n 1,100/= kwa shs elfu hamsini kutoa kwa lipa namba.
Walivyokuwa wajanja hawaoneshi makato kabla hujatuma, wanakuonesha baada.
Mpesa nao kabla ya kutuma wanakuonesha makato ni 0, baada ya kulipia ndio wanakuonesha wamekata.
 
Tigo nao wameshalingana na kakayao M-Pesa[emoji16][emoji16]
 
Kiukweli wanao miliki mitandao ya simu ni matajiri wakubwa sana .serikali inatakiwa kufanya reform huu unyonyaji wao
 
Unajua kwanini Elion Musk alichezewa zengwe na akina Nape?
 
Walis
Wote wamepandisha mkuu
 
Mi nimeshanga leo nimelipa 10000 nimekatwa 1450 wakati ilikua 1000[emoji2960][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…