Ni lipa ya airtel bila shaka.Kudadeki; mimi nina line ya lipa leo nimetoa laki 495,000/= kwa Wakala wamenichinja 3500 ambapo awali ilikuwa ni free kutoa mara1 kwa siku, hizi Lipa Namba sasa ni rasmi zimekosa maana
Ukitoa kwa wakala au ukifanya malipo voda lipa kwenda voda lipa?? Mm najua ukifanya malipo voda lipa to voda lipa ni bure kabisa ila muamala uwe mmoja kwa siku na ukitoa kutoka voda lipa kwenda kwa wakala wa mpesa ni bure hata utoe 1m ila muamala uwe mmoja kwa siku.Nimefuatilia leo nimeambiwa unakatwa ukitoa kuanzia laki3, kwahiyo inabidi utoe 299,999 ili kuepuka makato
nimetoa 5M na sijakatwaNimefuatilia leo nimeambiwa unakatwa ukitoa kuanzia laki3, kwahiyo inabidi utoe 299,999 ili kuepuka makato
hii ukikutana na chuma ulete utalia kilio kikubwa sana. imagine safe case ililiza mtu 2MTumieni cash wakuu, nunua safe case yako ya 250k anza kutunza pesa humo, hata sheri ukienda usilipe kwa selcom wala lipa namba. Ujue umasikini muda mwingine tunaukaribisha wenyewe.
Sahivi wameanza kukata ukitoa kuanzia laki3Ukitoa kwa wakala au ukifanya malipo voda lipa kwenda voda lipa?? Mm najua ukifanya malipo voda lipa to voda lipa ni bure kabisa ila muamala uwe mmoja kwa siku na ukitoa kutoka voda lipa kwenda kwa wakala wa mpesa ni bure hata utoe 1m ila muamala uwe mmoja kwa siku.
Wee ni muongo wanakataaa,Vodacom ni bure ndugu yangu hapa unatupanga, ata leo nimetoa
Nimetoka kutoa muda huu ni bure.Wee ni muongo wanakataaa,
[emoji3]aya sawa.Wee ni muongo wanakataaa,
Yaani unarisk 30ml Kwa ajili ya 1000001100 kwa muamala mmoja ni faida nzur mbona ... mawakal wakubwa kwa siku anaweza fanya hata miamala 100 ya design hiyo so kwa siku akapata 110000
Mkuu unatakaje zaid ya hapo
Hapa kuna watu hawana akili sawa sawa wanazuia raia kutumia mifumo ya kisasa.Hivi nchi zingine wanafanyaje kwenye huduma za kifedha,kwanini kusiwe na njia mbadala ya hii mitandao ya simu, mfano credit card, wechat pay, paypal n.k