Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

Kudadeki; mimi nina line ya lipa leo nimetoa laki 495,000/= kwa Wakala wamenichinja 3500 ambapo awali ilikuwa ni free kutoa mara1 kwa siku, hizi Lipa Namba sasa ni rasmi zimekosa maana
Ni lipa ya airtel bila shaka.
Mi nnayo ya voda na airtel, airtel wameanza kukata ukitoa toka mwaka jana.
 
Nimefuatilia leo nimeambiwa unakatwa ukitoa kuanzia laki3, kwahiyo inabidi utoe 299,999 ili kuepuka makato
Ukitoa kwa wakala au ukifanya malipo voda lipa kwenda voda lipa?? Mm najua ukifanya malipo voda lipa to voda lipa ni bure kabisa ila muamala uwe mmoja kwa siku na ukitoa kutoka voda lipa kwenda kwa wakala wa mpesa ni bure hata utoe 1m ila muamala uwe mmoja kwa siku.
 
Tumieni cash wakuu, nunua safe case yako ya 250k anza kutunza pesa humo, hata sheri ukienda usilipe kwa selcom wala lipa namba. Ujue umasikini muda mwingine tunaukaribisha wenyewe.
 
Tumieni cash wakuu, nunua safe case yako ya 250k anza kutunza pesa humo, hata sheri ukienda usilipe kwa selcom wala lipa namba. Ujue umasikini muda mwingine tunaukaribisha wenyewe.
hii ukikutana na chuma ulete utalia kilio kikubwa sana. imagine safe case ililiza mtu 2M
 
Ukitoa kwa wakala au ukifanya malipo voda lipa kwenda voda lipa?? Mm najua ukifanya malipo voda lipa to voda lipa ni bure kabisa ila muamala uwe mmoja kwa siku na ukitoa kutoka voda lipa kwenda kwa wakala wa mpesa ni bure hata utoe 1m ila muamala uwe mmoja kwa siku.
Sahivi wameanza kukata ukitoa kuanzia laki3
 
Hivi nchi zingine wanafanyaje kwenye huduma za kifedha,kwanini kusiwe na njia mbadala ya hii mitandao ya simu, mfano credit card, wechat pay, paypal n.k
 
Nimetoka kutoa muda huu ni bure.
ᴺᴵᴹᴱᶠᵁᴬᵀᴵᴸᴵᴬ ᴺᴵᴹᴱᴬᴹᴮᴵᵂᴬ ᴺᴵ ᴮᴬᴬᴰᴴᴵ ᵞᴬ ᴹᴬᴱᴺᴱᴼ ˢᴵᴼ ᴺᶜᴴᴵ ᴺᶻᴵᴹᴬ, ᴴᴬˢᴬ ᴹᴬᴱᴺᴱᴼ ᵞᴬ ᴷᴬᴺᴰᴬ ᵞᴬ ᶻᴵᵂᴬ
 
1100 kwa muamala mmoja ni faida nzur mbona ... mawakal wakubwa kwa siku anaweza fanya hata miamala 100 ya design hiyo so kwa siku akapata 110000

Mkuu unatakaje zaid ya hapo
Yaani unarisk 30ml Kwa ajili ya 100000
Are you okey?
 
Hivi nchi zingine wanafanyaje kwenye huduma za kifedha,kwanini kusiwe na njia mbadala ya hii mitandao ya simu, mfano credit card, wechat pay, paypal n.k
Hapa kuna watu hawana akili sawa sawa wanazuia raia kutumia mifumo ya kisasa.
 
Back
Top Bottom