Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 4,977 Reaction score 6,635 Mar 28, 2016 #1 Wakuu nimemsikia Aden Rage akisema CAF watalipa gharama zote kwa TFF, najiuliza gharama hizi zitalipwa kwa pesa ipi? Hii ya fine ilopigwa Chad $20,000? Mbona Ni pesa ndogo? Au CAF huwa Ina mfuko maalumu kwa fidia hizi?
Wakuu nimemsikia Aden Rage akisema CAF watalipa gharama zote kwa TFF, najiuliza gharama hizi zitalipwa kwa pesa ipi? Hii ya fine ilopigwa Chad $20,000? Mbona Ni pesa ndogo? Au CAF huwa Ina mfuko maalumu kwa fidia hizi?