chwechinyong
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 223
- 105
Habari wana JF,
Naomba kufahamu gharama za vitu vifuatavyo katika ujenzi kwa mkoa wa Dar na wapi naweza kupata vitu hivyo na ubora wao
1: Madirisho ya Grill
2: Madirisha ya Vioo
3: Milango ya Grill
4: Milango ya Mbado inayodumu i.e. mbao nzuri
Sijajua size halisi ya hivyo vitu ila ramani inaonyesha ni 1500, 1200 na 900 kwa madirisha na 1200 kwa milango
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.