Gharama za madirisha na milango ya Grill na madirisha ya vioo kwa anaefahamu

chwechinyong

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
223
Reaction score
105
Habari wana JF,

Naomba kufahamu gharama za vitu vifuatavyo katika ujenzi kwa mkoa wa Dar na wapi naweza kupata vitu hivyo na ubora wao

1: Madirisho ya Grill

2: Madirisha ya Vioo

3: Milango ya Grill

4: Milango ya Mbado inayodumu i.e. mbao nzuri

Sijajua size halisi ya hivyo vitu ila ramani inaonyesha ni 1500, 1200 na 900 kwa madirisha na 1200 kwa milango

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
madirisha ya vioo yangu nilitumia approx millioni 4 na nusu,sasa hapo inategemea nyumba yako ya aina gani,ukubwa wa madirisha,madirisha mangapi etc
 
mkuu Chimbuvu, madirisha 10 ya size 1500*1500mm high , mawili ya 900*900mm high na moja la 1200*1200mm high

Nenda Mapambano hapo jirani na Tbc Redio.
 
uko mkoa gani arusha kuanzia laki moja mpaka laki tatu inategemea na ukubwa na ubora
 
Mkuu kwasasa niko nje ya Dar sitaweza
kukukwambia gharama zikoje lakini
ikiwa tu utapata nafasi ya kwenda itakuwa vizuri

Nashukuru sana mkuu Kennedy. Bahati mbaya sana nami sipo Dar na ndio maana naulizia ili niweze kuwaambia jamaa niliowaachia hiyo kazi wafanye vipi na wapi watapata vilivyo bora na bei nijue gharama halisi
 
Sakina kwa arusha ila gharama ndio sijui
 
mkuu Chimbuvu, madirisha 10 ya size 1500*1500mm high , mawili ya 900*900mm high na moja la 1200*1200mm high

Mkuu kwa vipimo vyako hivyo hata milion tatu hazifiki kioo cha oneway .Nenda kwa wachina wapo chang'ombe wanafanya sqm 1 madirisha ni 100,000 sasa kwa 1500 itakuwa 150,000 kila dirisha naweza kupa namba ya moja ya mafundi wa kupima ukitaka baada ya hapo utaenda ofisini kwao kulipia ndani ya week tu wanakamilisha kazi .
 
Mkuu Wenger nitashukuru sana ukinipatia hiyo namba ya huyo fundi na maelekezo ya ofisi za hao wachina zipo chang'ombe gani( i mean exact direction), na pia vipi kuhusu ubora wa vioo na dirisha kwa ujumla?
 
Mkuu kama ni fundi si wa magendo si uweke tu number yake watu wote tufaidike, itamsaifdia fundi na kampani pia au basi waliofanikiwa kuwasiliana na fundi tunaomba feed back.
 
Ni kweli mkuu, mkuu Wenger hebu tupatie hiyo namba ili na wengine tunufaike pia.
 
Mkuu Wenger nitashukuru sana ukinipatia hiyo namba ya huyo fundi na maelekezo ya ofisi za hao wachina zipo chang'ombe gani( i mean exact direction), na pia vipi kuhusu ubora wa vioo na dirisha kwa ujumla?

namba ni hii hapa kwa wanaohitaji: 0713 773343- kwa kifupi tu ni kwamba hawa jamaa ubora wa kazi yao na material ni ya uhakika mimi walinifanyia kazi mwezi uliopita baada ya kuona kazi zao sehemu tofauti.
Ofisi zao zipo chang'ombe baada ya veta ingii njia ya viwandani kulia workshop namba 3.
wana workshop kubwa sana hapo utaona picha na list ya kazi ambazo wameshafanya.
 
Tunashukuru sana......ubarikiwe sana, na ukipata muda basi mkuu waweza saidia na bei za magrili kwa wastani kama ulivyosema kwa aluminium hii itaweza tupa wananchi kaidea vizuri,
 
namba ni hii hapa kwa wanaohitaji: 0713 773343- kwa kifupi tu ni kwamba hawa jamaa ubora wa kazi yao na material ni ya uhakika mimi walinifanyia kazi mwezi uliopita baada ya kuona kazi zao sehemu tofauti.
Ofisi zao zipo chang'ombe baada ya veta ingii njia ya viwandani kulia workshop namba 3.
wana workshop kubwa sana hapo utaona picha na list ya kazi ambazo wameshafanya.

Mkuu Wenger , asante sana kwa namba na maelezo ya walipo hao jamaa. ngoja niwasiliane na jamaa zangu ili wafanye ziara sehemu husika na kujionea ili wanipe feedback tuendelee na mchakato
 
Back
Top Bottom