chwechinyong
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 223
- 105
madirisha ya vioo yangu nilitumia approx millioni 4 na nusu,sasa hapo inategemea nyumba yako ya aina gani,ukubwa wa madirisha,madirisha mangapi etc
Nenda Mapambano hapo jirani na Tbc Redio.
Hapo Mapambano gharama na quality zao zipoje mkuu?
uko mkoa gani arusha kuanzia laki moja mpaka laki tatu inategemea na ukubwa na ubora
Mkuu kwasasa niko nje ya Dar sitaweza
kukukwambia gharama zikoje lakini
ikiwa tu utapata nafasi ya kwenda itakuwa vizuri
mkuu Chimbuvu, madirisha 10 ya size 1500*1500mm high , mawili ya 900*900mm high na moja la 1200*1200mm high
Mkuu kwa vipimo vyako hivyo hata milion tatu hazifiki kioo cha oneway .Nenda kwa wachina wapo chang'ombe wanafanya sqm 1 madirisha ni 100,000 sasa kwa 1500 itakuwa 150,000 kila dirisha naweza kupa namba ya moja ya mafundi wa kupima ukitaka baada ya hapo utaenda ofisini kwao kulipia ndani ya week tu wanakamilisha kazi .
Mkuu kama ni fundi si wa magendo si uweke tu number yake watu wote tufaidike, itamsaifdia fundi na kampani pia au basi waliofanikiwa kuwasiliana na fundi tunaomba feed back.Mkuu Wenger nitashukuru sana ukinipatia hiyo namba ya huyo fundi na maelekezo ya ofisi za hao wachina zipo chang'ombe gani( i mean exact direction), na pia vipi kuhusu ubora wa vioo na dirisha kwa ujumla?
Mkuu kama ni fundi si wa magendo si uweke tu number yake watu wote tufaidike, itamsaifdia fundi na kampani pia au basi waliofanikiwa kuwasiliana na fundi tunaomba feed back.
Mkuu Wenger nitashukuru sana ukinipatia hiyo namba ya huyo fundi na maelekezo ya ofisi za hao wachina zipo chang'ombe gani( i mean exact direction), na pia vipi kuhusu ubora wa vioo na dirisha kwa ujumla?
Tunashukuru sana......ubarikiwe sana, na ukipata muda basi mkuu waweza saidia na bei za magrili kwa wastani kama ulivyosema kwa aluminium hii itaweza tupa wananchi kaidea vizuri,namba ni hii hapa kwa wanaohitaji: 0713 773343- kwa kifupi tu ni kwamba hawa jamaa ubora wa kazi yao na material ni ya uhakika mimi walinifanyia kazi mwezi uliopita baada ya kuona kazi zao sehemu tofauti.
Ofisi zao zipo chang'ombe baada ya veta ingii njia ya viwandani kulia workshop namba 3.
wana workshop kubwa sana hapo utaona picha na list ya kazi ambazo wameshafanya.
namba ni hii hapa kwa wanaohitaji: 0713 773343- kwa kifupi tu ni kwamba hawa jamaa ubora wa kazi yao na material ni ya uhakika mimi walinifanyia kazi mwezi uliopita baada ya kuona kazi zao sehemu tofauti.
Ofisi zao zipo chang'ombe baada ya veta ingii njia ya viwandani kulia workshop namba 3.
wana workshop kubwa sana hapo utaona picha na list ya kazi ambazo wameshafanya.