Gharama za mafuta zakwamisha abiria wa Meli ya kitalii nchini Kambodia

Gharama za mafuta zakwamisha abiria wa Meli ya kitalii nchini Kambodia

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Abiria wa meli iliyokuwa ikizunguka dunia wamekwama nchini Cambodia baada ya kampuni inayoendesha meli hiyo kusitisha safari kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta.

Kampuni ya Marekani inayomiliki meli ya Villa Vie Odyssey imesema inashirikiana na abiria kupanga namna ya kushuka melini na kupata makazi ya muda.Katika taarifa iliyotolewa na BBC mpaka sasa haijafahamika idadi kamili ya abiria waliokuwa melini, lakini meli hiyo yenye urefu wa karibu mita 200 ina uwezo wa kubeba hadi abiria 650.

Meli hio Ilianza safari yake kutoka Belfast, Ireland Kaskazini, Oktoba 2024, ikiwa na mpango wa kuzunguka dunia.

Bei ya mafuta imepanda kwa kiasi kikubwa tangu kuanza kwa vita vya Iran mapema mwaka huu. Kampuni hiyo imesema gharama ya mafuta kwa kila chumba cha abiria kwa mwezi katika baadhi ya maeneo ya Asia imeongezeka kutoka dola 1,800 hadi dola 8,000.

Kampuni hiyo imesema ilichukua hatua za kupunguza matumizi ya mafuta, zikiwemo kupunguza kasi ya meli na kuongeza muda wa kusimama bandarini. Hata hivyo, hatua hizo hazikutosha kukabiliana na ongezeko kubwa la gharama.

====================
A luxury cruise ship on a years-long voyage around the world said it suspended operations due to extraordinarily high fuel costs, leaving passengers stranded in Cambodia.

The US-based operator of Villa Vie Odyssey said it was working with passengers on disembarkation plans and "temporary living arrangements".It is unclear how many were on board but the nearly 200m (656ft) vessel can carry up to 650 passengers. It departed Belfast in October 2024 for a "continuous voyage around the world".

Global fuel prices have soared since the Iran war started earlier this year. The ship's operator said the monthly fuel cost per cabin in parts of Asia has risen to as much as $8,000 (£6,000) from $1,800.

The company said it had taken "significant steps to reduce fuel consumption, including slowing the itinerary and spending more time in port". But those measures turned out to be insufficient to "offset the extraordinary increase in fuel costs".

"Passing the full increase on to residents is not a realistic solution," it said.The company would spend the next 60 days on "restructuring and recapitalisation", though "no outcome is assured", it said.

The Villa Vie Odyssey's voyage was expected to span 3.5 years and cover nearly 150 countries, according to its website.
 
kwani bado wanategemea mafuta kutoka kwa magaidi ya kiislamu , nilijua wana kila kitu kwa sababu wafusi wa paulo wanapenda kusema hao magaidi wanategemea vitu kutoka ulaya na America.

Naomba kueleweshwa , kwa hiyo wagalatia wanategemea nishati kutoka kwa magaidi na wanawakataa wasiingie nchini mwao ila wao wanategemea nishati yao adhimu?
 
Back
Top Bottom