Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

Official Ric

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
31
Reaction score
75
Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo

Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja Dom naona kama maisha ya Dom yapo juu Bora hata na Dar.

Mfano kwa Dar ukiwa na Elfu kumi unaweza kula vizuri na ukasaza sasa kwa huku naona kama elfu kumi syo kitu coz kila kitu kipo juu mfano tumeshazoea maji ya kunywa unapta kwa mia sab ukija huku ni Buku na pia nauli iko juu coz eneo nalo kaa mimi hakuna daladala unatumia bajaji ni Buku.

Kingine ni Chumba naon bei ya vyumba ni sawa n Dar coz single bei ni 50000 mpka 60000
Kingine naona pia mzunguko wa pesa upo chin coz kipind nilikuwa nipo dar nilikuwa naweza kusave hata 15000 kwa siku ila huku tokea nimekuj sijasave hata mia ela nayopata yote nakula.

Kwangu mm naon Maisha ya Dodoma yapo juu kuliko hta Dar,Arusha na Mwanza ebu na nyie wanajukwaaa mliowai kuishi hii mikoa miwili mtupe experience zenu na unamshauri nini kijana anayetaka kuja Dom au Dar au kwa haya majiji tulionayo unaon wapi ni Bora kwenda kupambana na itakua Rahis kutoboa.

NB: Japokuwa kutoboa ni mipango ya mtu mwenyewa lakini kuna maeneo ukiwa unapambana inakuwa ni rahis kuliko maeneo mengine
 
Nililala Dom siku moja tu . Nikajua Life ni gumu sana hapo.hasa upande wa msosi.. Dar shida ni aridhi na makazi Yapo juu sana pesa IPO ukipata angle nzuri
 
Dodoma pagumu sio kidogo , tatzo hawa waheshimiwa wanatuharibia mji kila kitu bei juu Nipo Dom ila nna mpango wa kuhama
 
Back
Top Bottom