Ndio wameweka huduma ya kutoa kwa mobile wallet.Duuh skrill wameweka Airtel?? Ngoja niangalie..Alafu mkuu mbona muamala wa skrill wanakata 2Usd wewe 1us unaona ni kubwa?
mkuu skrill na neteller wote wameweka airtel money sasahiv kwenye withdraw, makato ya airtel money ni 1.5% ila kiwango cha chini lazima kianzie 0.5usd mfano kama kitoa hela ambayo 1.5% yake ni chini ya 0.5 wao wanawewka o.5 ndo mfano wa hiyo scenario yako, ukitoka hapo kwenye conversion ya usd kuja tsh wanakata 4.49% (wameiweka katika mfumo pale kwenye exchange rate)Ndio wameweka huduma ya kutoa kwa mobile wallet.
Sijasema ni kubwa boss, ila nimejaribu kutoa 1USD na wao wamekata 0.5USD kama charges, ambapo gharama ya makato imekuwa nusu ya kiwango cha pesa nilichotoa, hapo huoni kiwango ni kikubwa boss??
Ipo hivi, ni sawa na wewe utoe 10USD alafu makato iwe 5USD, sidhani kama ni kiwango kidogo kama ulivyosema.