Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 277
Kaka hizo ni pesa za ziara nzima ya Obama toka Senegal, South Africa hadi Tanzania, na kwa sababu za usalama ziara ya Mikumi National Park ilifutwa!! Sisi pesa tulizotumia hazijulikani labda kama serikali sikivu ya CCM itakuja na takwimu sahihi ya gharama ambazo serikali imeingia kuhudumia ugeni huo!!Billion 172 fedha za kujenga zahanati 384 ,au tungekula wali taifa zima siku hiyo tusingelala na njaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kaka hizo ni pesa za ziara nzima ya Obama toka Senegal, South Africa hadi Tanzania, na kwa sababu za usalama ziara ya Mikumi National Park ilifutwa!! Sisi pesa tulizotumia hazijulikani labda kama serikali sikivu ya CCM itakuja na takwimu sahihi ya gharama ambazo serikali imeingia kuhudumia ugeni huo!!
cha muhimu ni kuuliza hizo pesa zimetoka wap? wakati bajeti inapopitishwa hakuna fungu lililopitishwa la mapokezi wa wageni wa kitaifa
hembu fikiria kidogo,senegal south Africa tu gharamie sisi?obama burget ya safari zake touring and exploting africa was tillioni 10 za kitanzania na sisi tulitumia billioni 172 kumkaribisha tu ujio wake ,i know what am talking about
Kiongozi hizo bilion!! Serikali ya marekani ndo ilihusika! Kuzitayarisha! Cio serikali yetu!! Hata kukodi Hotel zote ilikuwa ni gharama zao!!!
Sisi wengine tulikuwa mgodini hatukufanikiwa kuuona msafara, mwenye picha tafazali za msafara na ma limosini aweke hapa tafazali tena ili tuweze na sisi kufanya tasmini.
cha muhimu ni kuuliza hizo pesa zimetoka wap? wakati bajeti inapopitishwa hakuna fungu lililopitishwa la mapokezi wa wageni wa kitaifa