Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 277
Wanajamvi,
Habarini za jioni, mimi ni mmojawapo wa wananchi aliyekaidi agizo la Bw. Membe kwa kuwa nililazimika kuleta nyanya zangu tka shamba. Sijabahatika sana kuona msafara wala video ila niliguswa na kitendo cha upigaji deki wa barabara zetu na usafi mzuri, naomba mnisaidie kama kuna anayejua japo makadirio ya gharama za kumpokea mgeni huyu na wenzake japo makadirio tuu.
Nawasilisha.