Gharama za matibabu India kuondoa uvimbe (kansa)kwenye ubongo


Nje ya maada ila kitatubariki wote regency hospital wapo ki maslahi zaidi wanampasua mtu wanaaema wanaenda kupima kinyama cha mtu nairobi for ten days....kweli???? Kwann wasiache wakamtrasfer mtu nairobi... but poa tupo msibani
 
WAKATI UNAFUATA USHAURI WA WAKUU WALIOTANGULIA OMBENI SANA MUNGU ATAFANYA KITU..... ... Angalia shetani asiitumie nafasi ya ugonjwa kuwapeleka kwa hawa wanaojiita mitume au manabii walioteka watu mjini kwa miujiza wanayofanya..

IKUWA NI MAPENZI YA MUNGU DOGO APONE BASI ATAPONA TU...
poleni sana
 
Da! Poleni kwa tatizo hope mungu atabariki jitihada za kumtibu dogo.
 

Asante mkuu
 
Nami nahitaji uniunganishe india
 
India kule kuna mashine inayonyonya uvimbe kwenye ubongo na kuutolea kupitia puani, hakuna bila upasuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…