Gharama za matibabu India kuondoa uvimbe (kansa)kwenye ubongo

Gharama za matibabu India kuondoa uvimbe (kansa)kwenye ubongo

pole sana kaka. njja rahisi ni kuvisit website za hospital zenye reputation nzuri india.. kama apollo, agakhan, narayana health city etc..

then uwasiliane nao kwa e mail ukiomba maelekezo kuhusu mgonjwa wako.

kuwarahisishia kazi. ni vizuri ku attach report za ugonjwa wake za hospital za bongo, majibu ya vipimo alivyopimwa bongo.. ili waweze kupata mwanga na kukupa right cost za matibabu yao kwa mgonjwa wako

Nje ya maada ila kitatubariki wote regency hospital wapo ki maslahi zaidi wanampasua mtu wanaaema wanaenda kupima kinyama cha mtu nairobi for ten days....kweli???? Kwann wasiache wakamtrasfer mtu nairobi... but poa tupo msibani
 
WAKATI UNAFUATA USHAURI WA WAKUU WALIOTANGULIA OMBENI SANA MUNGU ATAFANYA KITU..... ... Angalia shetani asiitumie nafasi ya ugonjwa kuwapeleka kwa hawa wanaojiita mitume au manabii walioteka watu mjini kwa miujiza wanayofanya..

IKUWA NI MAPENZI YA MUNGU DOGO APONE BASI ATAPONA TU...
poleni sana
 
Da! Poleni kwa tatizo hope mungu atabariki jitihada za kumtibu dogo.
 
WAKATI UNAFUATA USHAURI WA WAKUU WALIOTANGULIA OMBENI SANA MUNGU ATAFANYA KITU..... ... Angalia shetani asiitumie nafasi ya ugonjwa kuwapeleka kwa hawa wanaojiita mitume au manabii walioteka watu mjini kwa miujiza wanayofanya..

IKUWA NI MAPENZI YA MUNGU DOGO APONE BASI ATAPONA TU...
poleni sana

Asante mkuu
 
Kaka tuwasiliane nikupe connection an mtu aliyopo India (mtanzania) atakusaidia. Mhindi yeyote hasa hao wa regency watakuingiza cha kike. Kuna best hospital Kama Apollo and Max. Tatizo la Apollo ni ghali mno labda kama mmejipanga vyema kifedha. Unaweza ni pm tukashauriana
Nami nahitaji uniunganishe india
 
India kule kuna mashine inayonyonya uvimbe kwenye ubongo na kuutolea kupitia puani, hakuna bila upasuaji.
 
Back
Top Bottom