mwambojoke JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,084 Reaction score 647 Jan 7, 2015 #1 Naomba kuuliza wana jukwaa hilli. Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
Naomba kuuliza wana jukwaa hilli. Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?