Gharama za MENO BANDIA na Bima ya AFYA- NHIF

Gharama za MENO BANDIA na Bima ya AFYA- NHIF

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,084
Reaction score
647
Naomba kuuliza wana jukwaa hilli.

Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia?

Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
 
Back
Top Bottom