Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 90
Natanguliza shukran wakuu, bila shaka wazima wa afya, straight to the point, ni mgen kwa maswala ya ujenzi ndo maana nataka nikijenge hiki kwa phases kinipe experience kabla sjajipanga kwa ajili ya main house.
Nataka nianze na msingi kwanza, so naomba mnipe estimation ya gharama kulingana na raman hii..
Sebule 10*10ft, bedroom 8*8ft, kijiko simple sana 5*3ft, Toilet (public) 5*3ft. Kiwanja nshanunua, eneo ni Bukoba mjini mkoa Kagera. Ndo ivo tu yan. Bado ni bachelor sina mtoto wala mama yake.
Ikiwezekana naomba
mwenye uzoefu anipe mwanga msingi uta cost shingapi, au hadi hatua ya paa na kuezeka kabisa. Au hadi nahamia kabisa. Lkn msingi kwanza. I'll appreciate ur contributions.🙏