Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 112
Nathamin sana mchango wako huu mkuu, shukran, lkn sasa mbna naona km sebule itakuwa kubwa mno, hata toilet 4*7ft mbna naikuta km ni kubwa sana mkuu, big for nothing, hii temporary house ambayo in future inaweza iwe boys quota. Naona km itakuw kubwa mno, au niaje mkuu, msingi utantumia mawe, then tofali za kuta zitakuw za kuchomaHapo utaingia hasara tu kwa saizi ya vyumba hivyo. Fanya hivi:
Sebure: 12ft*12ft
Chumba:12ft:11ft
Toilet: 4ft*6.5ft au 7ft kama ni self container.
Jiko: 5ft*8ft
Kuhusu gharama itategemea na material utakayotumia. Mawe au tofali za simenti.
Kwa vipimo ulivyotumia ni vidogo sana pia kiasi kwamba utajikuta unatumia bati za futi 8 kwa kuunganisha kitu ambacho kinaleta gharama sawa na pale sebure yako ikiwa 12ft*12ft au 11ft*11ft na chumba kuwa na saiz ya 12ft*12ft ili sehem yake ichukuliwe na choo. Pia nimeshaur choo kiwe 4ft*7ft ili kuruhusu kitanda cha 5ft*6ft au 6ft*6ft kufiti pemben mwa marefu ya hicho choo kwenye self yako.Nathamin sana mchango wako huu mkuu, shukran, lkn sasa mbna naona km sebule itakuwa kubwa mno, hata toilet 4*7ft mbna naikuta km ni kubwa sana mkuu, big for nothing, hii temporary house ambayo in future inaweza iwe boys quota. Naona km itakuw kubwa mno, au niaje mkuu, msingi utantumia mawe, then tofali za kuta zitakuw za kuchoma
Shukrani sana mkuu, nmepata wazo kutoka kwa rafiki kwamba ni bora nijenge 2bedrooms kwamba tofauti ya gharama za single bedroom kwa double rooms ni ndogo. Hivyo itanibid nichkue raman nyingne mpya. Nashkuru kwa ushauri wa vipimo.. ngoja ni revise raman nione inakuwajeKwa vipimo ulivyotumia ni vidogo sana pia kiasi kwamba utajikuta unatumia bati za futi 8 kwa kuunganisha kitu ambacho kinaleta gharama sawa na pale sebure yako ikiwa 12ft*12ft au 11ft*11ft na chumba kuwa na saiz ya 12ft*12ft ili sehem yake ichukuliwe na choo. Pia nimeshaur choo kiwe 4ft*7ft ili kuruhusu kitanda cha 5ft*6ft au 6ft*6ft kufiti pemben mwa marefu ya hicho choo kwenye self yako.