Gharama za ndege binafsi zipoje?

Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.

Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.


Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.

Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.

Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
 
JF sio ya watanzania tu mzee, punguza mihemko. na sisi wa Ruhengeli-Rwanda tufanyeje?
Nini wewee myebusi tuko kwenye msiba mnashadidia midege. Unajua gharama zake wewe hizo kwenye picha? Siyo chini ya dollar million 60. Hizi thread za kufarihia anasa wakati wa maombolezo haileti picha nzuri.

Ingia Google huko mtuache tuomboleze
 
Mtuache tuomboleze kifo cha mzee wetu Mengi hii midege ni vitu vya anasa na vya kupita. Tuna msiba wa taifa nyinyi mnaleta thread za anasa. Kuweni na staha
Nini wewee myebusi tuko kwenye msiba mnashadidia midege. Unajua gharama zake wewe hizo kwenye picha? Siyo chini ya dollar million 60. Hizi thread za kufarihia anasa wakati wa maombolezo haileti picha nzuri.

Ingia Google huko mtuache tuomboleze
wewe nae acha mawazo ya kimaskin ambayo hata huyo marehemu alikua akiyapinga, ni njaa zako tuu, kwaio kisa msibaa mambo yote yasimame? NJia bora ya kuomboleza ni kumuombea marehem apumzike/apumzishe pema peponi, hayo maombolezo yako ya kwenye mitandao au kwenda kushinda msibani hayana tija, BTW am sure mtoa mada alitaka tu kujua ila wewe na mahasira yako eti anasa? KHaaa
 
Tulia wewee mgerasi mtuache tuomboleze
 
Tulia wewee mgerasi mtuache tuomboleze
unaomboleza mitandaoni? HAkuna ambaye hajaguswa na msiba wa MENGI ila njia yako ya uombolezaji ni ya kipekee,mtu kuulizia bei ya kitu ni anasa? Je alieandika "Mke wangu ananinyima mtandao pendwa" kule MMU? UNaacha ku attack ma filauni kama hawa unakuja ku mu atak mtu anayeuliza swali la kawaida tu, just tukienda kiungwana mambo hayaend hvyo mzee
 
Dogo jikite kwenye mada acha porojo jamvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…