Gharama za ndege binafsi zipoje?

Gharama za ndege binafsi zipoje?

Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.

Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.

Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.

Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.

Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Maji ukiyavulia nguo...................
 
Kwanza ukiwa na ndege lazima uwe na gari sio unashuka uanjani unapanda boda boda! Vipuri ni vya kununua genuine sio vya kuokoteza.,Uwe na Rubani, vibali vya kupaki ndege airport, vibali vya kuruka duuh
Kiwanja ninacho kikubwa tu kipo Pwani n kingine Arusha kingine Ifakara.
Vina ukubwa wa hekari kama 61
 
Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.

Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.

Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.

Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.

Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Kwamba Airbus A380 ni cheapest kwa almost $2M? Aisee, hii bei hata huwezi pata mataili yake tu achana na ndege yenyewe. Nashangaa waliotoa likes bila kukosoa.
 
Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.

Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.

Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.

Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.

Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Dah hapo kwenye running cost ndio majanga.
Ndio maana nilikuwa najiuliza muda mrefu kwa nini watu kama akina bakhresa,mo dewji,rostam,manji hawanunui ndege za biashara,kumbe wamepiga hizo hesabu ndio maana hawana mpango nazo.
 
Bakresa anazo ndege za biashara, zinaenda Zanzibar na mbugani
 
Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.

Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.

Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.

Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.

Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Mkuu Airbus A380 unaijua au uliandika tu?? Ni kubwa kuliko dream liner na ni za ghorofa, abiria 500+ sidhani kama unaweza kuipata chini ya tsh trilioni moja
 
Hahahah hapo umeua. Labda uwe na eneo la wazi kubwa sana. Dar pamejaa labda uende Tukuyu
Inajengwa Morogoro kwenye wilaya ya Ifakara Municipal, ujenzi upo 79%.
Ndege itawasili mwaka huu mwezi Novemba
 
Back
Top Bottom