Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bombadia mkuu wala sio vile vindege vya vita vya pili ya dunia
Maji ukiyavulia nguo...................Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.
Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.
Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.
Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.
Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Kiwanja ninacho kikubwa tu kipo Pwani n kingine Arusha kingine Ifakara.Kwanza ukiwa na ndege lazima uwe na gari sio unashuka uanjani unapanda boda boda! Vipuri ni vya kununua genuine sio vya kuokoteza.,Uwe na Rubani, vibali vya kupaki ndege airport, vibali vya kuruka duuh
what do you mean by saying second hand?
Usedwhat do you mean by saying second hand?
got you.40 million zitakuwa zile za mbugani.bora helicopterUsed
Zile jau dadekgot you.40 million zitakuwa zile za mbugani.bora helicopter
Kwamba Airbus A380 ni cheapest kwa almost $2M? Aisee, hii bei hata huwezi pata mataili yake tu achana na ndege yenyewe. Nashangaa waliotoa likes bila kukosoa.Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.
Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.
Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.
Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.
Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Dah hapo kwenye running cost ndio majanga.Itategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.
Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.
Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.
Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.
Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Bakresa anazo ndege za biashara, zinaenda Zanzibar na mbuganiDah hapo kwenye running cost ndio majanga.
Ndio maana nilikuwa najiuliza muda mrefu kwa nini watu kama akina bakhresa,mo dewji,rostam,manji hawanunui ndege za biashara,kumbe wamepiga hizo hesabu ndio maana hawana mpango nazo.
Bakresa anazo ndege za biashara, zinaenda Zanzibar na mbugani
Vile vile AZAMkampuni yake ya ndege inaitwaje
Vile vile AZAM
Mkuu Airbus A380 unaijua au uliandika tu?? Ni kubwa kuliko dream liner na ni za ghorofa, abiria 500+ sidhani kama unaweza kuipata chini ya tsh trilioni mojaItategemea na aina na specification za ndege. Ila bei yake ni kubwa sana kama Bil 3Na kuendelea izo za jet ila za mapanga itakua cheap.
Mfano Airbus A380 superjumbo Ndio cheapest jet bei $1.96 Million kama Bil 4 na kidogo.
Mbali na bei ya kununulia kutakua na ushuru wa aina mbalimbali.
Sasa tatizo linakuja kwenye running cost hapo ndio utasanda mzee. Ata Mabilionea hawanunui wanaishia kukodi tu maana kulitunza ilo ndude ni shida.
Kumbuka hulilazi parking kwako unalilaza Airpot so kila siku unalipia hela ya kulaza. So ni hatari sana saaaana.
Abiria 800 nishapanda hii ndege mumbai to abudhabi na etihad ni hatari tupuMkuu Airbus A380 unaijua au uliandika tu?? Ni kubwa kuliko dream liner na ni za ghorofa, abiria 500+ sidhani kama unaweza kuipata chini ya tsh trilioni moja
Inajengwa Morogoro kwenye wilaya ya Ifakara Municipal, ujenzi upo 79%.Hahahah hapo umeua. Labda uwe na eneo la wazi kubwa sana. Dar pamejaa labda uende Tukuyu
Nimeshailipia cash mkuu, siku ya uzinduzi nitakualikaUshanunua au bado unaning'inia kwenye daladala kama tumbili😂😂